"Ihsan bora unayoweza kuwafanyia Waislamu wa zama hizi ni kuwarudishia Akili 'Fikra' walizo nyang'anywa".

Sayyid Qutb Rahimahullaah

UMATA

UMOJA WA MAIMAMU TANZANIA
Ni sauti wakilishi ya Maimamu na Waalim wa jinsia zote wa Tanzania.
Umeanzishwa rasmi mwezi November Mwaka 2023.
Umoja huu umeundwa ili kutekeleza wajibu wa Maimamu na Waalim kwa umma wa Kiislam katika ngazi zote za kijamii kama sehemu ya wajibu wetu kwa kuwa tunatambuwa sisi ni viongozi kwa waumini katika kuleta mabadiliko chanya kwa jamii.

SCHOLARSHIP

Dirisha la Ufadhili wa masomo (Scholarship) kwa mwaka wa masomo 2025/2026 nchini Uturuki limefunguliwa rasmi tarehe 20/11/2024.
Huu ni usajili wa awali ambao utafungwa inshallah tarehe 20/01/2025

DIRA

Waislam Twenda Wapi?. 

Unatarajia TufikE wapi  kama Ummah miaka 35 Ijayo.

Unatamani kuwarithisha nini kizazi kipya ‘watoto na wajukuu’ zetu?

Nani ataeongoza kutufikisha huko?

UMATA inawaleta pamoja viongozi na Taasisi wanazoziongoza lengo kuu ni kuwa na Mkakati inayoratibiwa kwa pamoja. Ikiwemo Dira ya Waislam, Sensa nk

Ustawi wa umma wowote unapatikana iwapo umma huo utaelewa kuhusu NYAKATI na kujua la kufanya

Moja ya Dhumuni Kuu la kuanzishwa UMATA ni kuwapa nafasi Maimamu na Walimu wa Madrasa wa jinsia zote kujiendeleza kwa vitendo maarifa ya uongozi waliyonayo lengo likiwa ni kuwaongezea uelewa kuhusu NYAKATI na kujua la kufanya.

Client Testimonials

“A review from a client who benefited from your product. Reviews can be a highly effective way of establishing credibility and increasing your company's reputation.”
Client name